![Simulizi Tamu za Mapenzi - na](https://static.gameloop.com/img/19c0580373f9f2a10aa624b0918ba664.png?imageMogr2/thumbnail/172.8x172.8/format/webp)
Simulizi Tamu za Mapenzi - na PC
Tee Media
قم بتنزيل Simulizi Tamu za Mapenzi - na على جهاز الكمبيوتر باستخدام GameLoop Emulator
Simulizi Tamu za Mapenzi - na على الكمبيوتر الشخصي
Simulizi Tamu za Mapenzi - na ، القادم من المطور Tee Media ، يعمل على نظام Android في الماضي.
الآن ، يمكنك لعب Simulizi Tamu za Mapenzi - na على جهاز الكمبيوتر باستخدام GameLoop بسلاسة.
قم بتنزيله في مكتبة GameLoop أو في نتائج البحث. لا مزيد من الانتباه إلى البطارية أو المكالمات المحبطة في الوقت الخطأ بعد الآن.
ما عليك سوى الاستمتاع بجهاز Simulizi Tamu za Mapenzi - na على الشاشة الكبيرة مجانًا!
Simulizi Tamu za Mapenzi - na مقدمة
Kupitia App hii ya Simulizi Tamu za MApenzi utapata kusoma simulizi Tamu, chombezo, visa na mikasa, riwaya nzuri na za kusisimua zilizoandikwa na waandishi mbalimbali waliobobea kwenye uandishi wa simuliz na Hadithi tamu za Mapenzi kila siku.
Simulizi Tamu za Mapenzi kwa njia ya sauti zinazosimuliwa na waandishi wenye uzoefu kwenye kusimulia hadithi na simulizi mbalimbali.
Soma mikasa na visa mbalimbali vilivyotungwa na waandishi waliobobea .
👉🏼Utundu na Utamu wote wa chumbani.
👉🏼Siri zote za Mapenzi.
👉🏼Darasa la Mapenzi.
👉🏼Simulizi nzuri za Mapenzi.
👉🏼Ushauri kuhusu Mahusiano na Mapenzi.
👉🏼Ujumbe mzuri wa Mapenzi.
👉🏼Mapenzi Mubashara.
👉🏼Utajifunza namna Ya Kulinda Penzi.
👉🏼Sms za mapenzi.
👉🏼Mikasa ya mapenzi na Simulizi.
👉🏼Udaku Video
👉🏼Utamu Chumbani Wakubwa Tu
👉🏼Jinsi Ya Kutongoza Mwanamke
👉🏼Afya
Kupitia App ya simulizi za Mapenzi pia utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye Mambo yanayowatatiza kila siku kwenye Maisha
Jisomee simulizi mbalimbali za kusisimua zilizotungwa na mwalimu joshua, simulizi za maisha, mapenzi nk.... Ni simulizi zinazogusa maisha halisi usiache kupakua app hii hutojutia
Sasa Unaweza Kusoma na Kujifunza mambo mbalimbali Kupitia App hii ya Tuna vipengele vingi Uvipendavyo kama ifuatavyo
>> CHOMBEZO
Hapa Utaweza kusoma Hadithi, LoveStory, Na nyingine nyingi za watunzi mbalimbali hapa nchini,...
>> KUHUSU NDOA
Hapa Utaweza kujifunza namna ya kuishi na Mume / Mke au Mahusiano,
>> MIKASA
Hapa Utaweza kujifunza yale yaliowakuta watu katika maisha au mahusiano yao,
Sasa unaweza kusikiliza simulizi nzuri kutoka kwa watunzi mbali mbali unaowapenda wakati wowote, mahali popote kupitia simu yako ya mkononi
Simulizi hizi zinafaa kwa kujifunza mambo mengi kuhusu mapenzi, visa na mikasa mbalimbali ya maisha pamoja na simulizi za kidini kutukumbusha na kutufundisha mambo mbalimbali kuhusu maisha yetu ya sasa na ya baadae.
Application hii ina mambo yafuatayo:-
1. Inafunguka kwa haraka sana
2. Unasoma ndani ya Application kila kitu bila kwenda kwenye blog au website
3. Kila siku tunaweka simulizi mpya na kuweka muendelezo wa zile zenye mwendelezo.
4. Unapofungua simulizi inahifadhiwa sehemu ambayo kwa baadae unaweza isoma hata bila Internet
5. Unapata ujumbe kila simulizi mpya inapowekwa.
6. Na mengine mengi utayapata ukipakua Application yetu.
Usipitwe na simulizi tamu na zenye maudhui ya kuelimisha lakini pia kuburudisha kuifanya siku yako iende vizuri.
Utamu Kitandani ni App maalumu kwa kujifunza masuala ya mapenzi ambapo utajua jinsi ya kuishi na mpenzi kwa furaha pia utapata kujua njia ya kumpata mrembo yoyote na njia za kumpata, pia kwa wanawake utajua jinsi ya kuwa na handsome yoyote. Pia katika App hii utapata simulizi zitakazo kusisimua na kukufundisha pia kukuburudisha hivyo install app hii ili ufurahie yote hayo katika app hii bora kabisa ya mapenzi na utamu kitandani na kupata ufundi chumbani.
👉Mapenzi
👉Kumpata mpenzi
👉Ufundi kitandani
👉Utamu Chumbani
👉Simulizi za mapenzi
👉Ushauri wa Mapenzi
Vyote hivyo vinapatikana katika App hii bora ya Utamu Kitandani
Disclaimer
This App obtains public RSS feeds from websites/blogs. We do not own any feed or the contents of the feed, therefore we are not responsible for the accuracy, compliance, copyright, legality, decency, or any other aspect of the contents of the derived feed. If you have any legal issues please contact the appropriate website owners.
Please note that logos, names and other data of the respective contents are owned by them and this app is just a way to access them easily
العلامات
التعارفمعلومة
مطور
Tee Media
احدث اصدار
1.5
آخر تحديث
2022-11-05
فئة
التعارف
متاح على
Google Play
أظهر المزيد
كيف تلعب Simulizi Tamu za Mapenzi - na مع GameLoop على جهاز الكمبيوتر
1. قم بتنزيل GameLoop من الموقع الرسمي ، ثم قم بتشغيل ملف exe لتثبيت GameLoop.
2. افتح GameLoop وابحث عن "Simulizi Tamu za Mapenzi - na " ، وابحث عن Simulizi Tamu za Mapenzi - na في نتائج البحث وانقر على "تثبيت".
3. استمتع بلعب Simulizi Tamu za Mapenzi - na على GameLoop.
Minimum requirements
OS
Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit
GPU
GTX 1050
CPU
i3-8300
Memory
8GB RAM
Storage
1GB available space
Recommended requirements
OS
Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit
GPU
GTX 1050
CPU
i3-9320
Memory
16GB RAM
Storage
1GB available space