Türkiye
  • Global
  • Türkiye
  • Việt Nam
  • México
  • Perú
  • Colombia
  • Argentina
  • Brasil
  • India
  • ประเทศไทย
  • Indonesia
  • Malaysia
  • Philippines
  • 中國香港
  • 中國台灣
  • السعودية
  • مصر
  • پاکستان
  • Россия
  • 日本
İndirmek
Herufi na Akili – Akili and Me

Herufi na Akili – Akili and Me PC

4.6Version: 1.0.0

Ubongo

İndirmek

Herufi na Akili – Akili and Me'i GameLoop Emulator ile PC'ye indirin

PC'de Herufi na Akili – Akili and Me

Ubongo geliştiricisinden gelen Herufi na Akili – Akili and Me, geçmişte Android systerm üzerinde çalışıyor.

Artık Herufi na Akili – Akili and Me'i PC'de GameLoop ile sorunsuz bir şekilde oynayabilirsiniz.

GameLoop kitaplığından veya arama sonuçlarından indirin. Artık yanlış zamanda pile bakmak veya sinir bozucu aramalar yapmak yok.

Herufi na Akili – Akili and Me bilgisayarın keyfini büyük ekranda ücretsiz olarak çıkarın!

Herufi na Akili – Akili and Me Tanıtım

Sasa shule zimeanza rasmi. Je, Wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

App yetu ya “Herufi na Akili” itamppatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzanya yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno harita!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya eliu-burudani ya da “Akili and Me.”!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby ve Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me."

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza uygulaması hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

FAIDA

- Atambue sauti za herufi.

- Afanishe herufi.

- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.

- Acheze kwa uhuru.

- Apende kujifunza.

VILIVYOMO

- Jifunze zaidi ya maneno 80 harita.

- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.

- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 ve 6.

- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.

- Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote.

- Inafanya kazi BILA MTANDAO.

Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

Wangoja nini? Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - AKILI'NIN ALFABETİ

Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU “AKILI VE BEN”

“Akili and Me” ni katuni murua ya elemu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Kids” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzanya), ve Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya).

KUHUSU UBONGO

Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzanya inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo.

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza veya wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” ve “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milyoni 5.1 barani Afrika.

ONGEA NASI

Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.

Daha fazla göster

Ön izleme

  • gallery
  • gallery

Etiketler

Eğitim

Bilgi

  • geliştirici

    Ubongo

  • En Son Sürüm

    1.0.0

  • Son güncelleme

    2021-10-11

  • Kategori

    Eğitim

  • üzerinde mevcut

    Google Play

Daha fazla göster

PC'de GameLoop ile Herufi na Akili – Akili and Me nasıl oynanır

1. Resmi web sitesinden GameLoop'u indirin, ardından GameLoop'u kurmak için exe dosyasını çalıştırın.

2. GameLoop'u açın ve “Herufi na Akili – Akili and Me”i arayın, arama sonuçlarında Herufi na Akili – Akili and Me'i bulun ve “Yükle”ye tıklayın.

3. GameLoop'ta Herufi na Akili – Akili and Me oynamanın keyfini çıkarın.

Herufi na Akili – Akili and Me

Educational
İndirmek

Minimum requirements

OS

Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit

GPU

GTX 1050

CPU

i3-8300

Memory

8GB RAM

Storage

1GB available space

Recommended requirements

OS

Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit

GPU

GTX 1050

CPU

i3-9320

Memory

16GB RAM

Storage

1GB available space

Daha Benzer Oyunlar

Hepsini gör

İlgili Haberler

Hepsini gör
Kurmak için tıkla