中國台灣
  • Global
  • Türkiye
  • Việt Nam
  • México
  • Perú
  • Colombia
  • Argentina
  • Brasil
  • India
  • ประเทศไทย
  • Indonesia
  • Malaysia
  • Philippines
  • 中國香港
  • 中國台灣
  • السعودية
  • مصر
  • پاکستان
  • Россия
  • 日本
下載
Herufi na Akili – Akili and Me

Herufi na Akili – Akili and Me 電腦版

4.6Version: 1.0.0

Ubongo

下載

用GameLoop模拟器在電腦上玩Herufi na Akili – Akili and Me

Herufi na Akili – Akili and Me 電腦版

來自發行商 Ubongo 的 Herufi na Akili – Akili and Me 能夠在安卓系統上運行。

現在,您可以在電腦上使用 GameLoop 模擬器流暢地玩 Herufi na Akili – Akili and Me。

在 GameLoop 遊戲庫或搜索結果中下載。 不需要再暢玩遊戲時盯著電池電量或被令人懊惱的來電打斷。

只需在電腦大屏幕上免費下載暢玩Herufi na Akili – Akili and Me 電腦版!

Herufi na Akili – Akili and Me 簡介

Sasa shule zimeanza rasmi。 Je,wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

App Yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania Yanye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE。應用程序hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me."

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

法伊達

- Atambue sauti za herufi。

- Afananishe herufi。

- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe。

- Acheze kwa uhuru。

- Appende kujifunza。

維利維約莫

- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.

- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto。

- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.

- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu。

- Ni BURE kabisa。 Hakuna gharama zozote。

- Inafanya kazi BILA MTANDAO。

Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja。

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

旺哥妮妮? Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - 阿基利的字母表

Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili。 Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza。

“Akili 的字母表” itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha “Akili 和我”。 Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja。

KUHUSU “Akili 和我”

“Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Kids” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili yafrikato.wa

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba難波!切薩赫魯菲! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili。

Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1(坦桑尼亞),na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV(肯尼亞)。

庫胡蘇烏邦戈

Ubongo ni kampuni ya kijamii ya 坦桑尼亞 inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za Kidijitali kama redio, simu, televisheni waandalif viponikia

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika、tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao、wakitumia teknolojia walizo nazo。 Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika。

ONGEA NASI

Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz。 Twafurahi sana unapotupa maoni yako。

更多

預覽

  • gallery
  • gallery

標籤

教育

訊息

  • 開發商

    Ubongo

  • 最新版本

    1.0.0

  • 更新時間

    2021-10-11

  • 類別

    教育

  • 同時可用

    Google Play

更多

如何在電腦上用 GameLoop 玩 Herufi na Akili – Akili and Me

1. 從官網下載GameLoop,然後運行exe文件安裝GameLoop

2. 打開GameLoop,搜索“Herufi na Akili – Akili and Me”,在搜索結果中找到Herufi na Akili – Akili and Me,點擊“安裝”

3. 享受在 GameLoop 上玩 Herufi na Akili – Akili and Me 的樂趣

Herufi na Akili – Akili and Me

Educational
下載

Minimum requirements

OS

Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit

GPU

GTX 1050

CPU

i3-8300

Memory

8GB RAM

Storage

1GB available space

Recommended requirements

OS

Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit

GPU

GTX 1050

CPU

i3-9320

Memory

16GB RAM

Storage

1GB available space

更多類似遊戲

查看全部

相關資訊

查看全部
點擊安裝